Kazi ya Darasani: Sera za Wikipedia. Lengo la Kazi:Kuelewa na kutumia sera kuu za Wikipedia kwa usahihi wakati wa kuhariri na kuongeza maudhui. Maelekezo ya Kazi Soma na elewa dhana za msingi za sera za Wikipedia:Tumia muda kusoma nyaraka zinazohusu nguzo tano za Wikipedia na sera kuu kama: Maudhui huru (Free Content). Hakuna utafiti wa...Read More
Recent Comments